The House of Favourite Newspapers

TEMEKE: Ili Upige Muziki Kwenye Shughuli Lazima Ulipe Tsh 50,000

Manispaa ya Temeke itaanza kutoza TZS 50,000 ili kutoa kibali kwa mtu anayetaka kufanya shughuli za kijamii zikiwemo kupiga muziki kwenye kumbi/baa, harusi, sendoff, jando na unyago (ngoma), sherehe za siku ya kuzaliwa. Tozo hiyo itaanza rasmi 1 Februari 2019.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.