The House of Favourite Newspapers

Tibalishe; Virutubisho Vinavyoweza Kuboresha Afya Yako

0

Ni ukweli usiopingika kwamba maradhi ni miongoni mwa maadui wakuu watatu wa binadamu, na kwa miaka mingi, wanasayansi wameendelea kutafuta njia bora zaidi ya kupambana na maradhi huku wakitumia zaidi usemi wa “bora kinga kuliko tiba”.

 

Hii ndiyo sababu kuu inayowafanya wataalam wa afya duniani kote, kuwasisitiza watu kuhakikisha miili yao inakuwa na kinga ya kutosha ili kusaidia kuzuia maambukizi kwa sababu hakuna ubishi kwamba kinga ni bora kuliko tiba!

 

Hata hivyo, suala la kinga bado limeonekana kuwa tatizo kubwa sana kwa watu wengi, kwa sababu siyo rahisi kupata chakula chenye virutubisho kamili na kwa kiwango cha kutosha.

 

Hivyo wanasayansi wameendelea kuumiza vichwa, na hatimaye wamegundua tibalishe ambazo zimethibitika kuwa na uwezo mkubwa wa kusaidia kupambana na maradhi kwenye miili ya binadamu. Tibalishe hizi zina maboresho mengi zikiwa hazina madhara (side effects), lakini wakati huohuo zikiupa mwili virutubisho mbalimbali.

 

Habari ya mjini kwa sasa ni tibalishe, na watu mbalimbali waliozitumia na wanaoendelea kuzitumia, wametoa shuhuda za jinsi tibalishe hizi zilivyowasaidia kupambana na magonjwa sugu yanayotokana na mtindo mbaya wa maisha na lishe isiyokamilika, kama vile kisukari, saratani, kiharusi, matatizo ya uzazi, magonjwa ya mfumo wa upumuaji, magonjwa ya moyo, matatizo ya mifupa, pamoja na maradhi mengine mengi yanayomsumbua binadamu.

Zipo kampuni mbalimbali zinazozalisha tibalishe hizo.  Miongoni mwao ni kampuni ya NeoLife ambayo ni maarufu sana, na imekua mstari wa mbele kwa kuzalisha virutubisho na bidhaa zenye ubora wa kimataifa zinazotumika duniani kote kwa miaka zaidi ya 60 sasa.

 

NeoLife imekua ikizalisha tibalishe hizo kwa kutumia mimea ya asili, mbogamboga, matunda na vyakula vingine kama samaki, zikiwa na uwezo mkubwa sana wa kusaidia kutatua matatizo mbalimbali  ya kiafya yanayomsumbua binadamu.

 

Matumizi yake yanasaidia kumpa mtumiaji virutubisho vingi ambavyo huongeza kinga yake, na kuufanya mwili uwe na uwezo wa kupambana na maambukizi ya maradhi mbalimbali.

Mbali na virutubisho hivyo, kampuni hiyo pia inazalisha bidhaa bora na salama za usafi wa majumbani zisizo na kemikali-sumu.

 

Matumizi ya bidhaa hizi yanafanya mazingira tunayoishi kuwa safi na salama, na kwa gharama nafuu.

Kwa miaka mingi, bidhaa hizo zimeendelea kushika namba moja kwa ubora wake katika kusafisha nguo, mazulia, vyombo, sakafu, masinki ya jikoni na chooni, na maeneo mengine ya nyumbani yanayohitaji kusafishwa mara kwa mara.

 

Baadhi ya bidhaa hizo zimeonyesha uwezo mkubwa katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona, ambapo zimekuwa zikitumika kama sabuni na disinfectant duniano kote.

 

Bidhaa zote zinazozalishwa na NeoLife, ni rafiki kwa mazingira na zimetengenezwa zikiwa hazina kemikali-sumu zinazoweza kuharibu mazingira, jambo linazozifanya kuendelea kuongoza kwa ubora duniani kote.

 

Kampuni ya NeoLife pia inatengeneza bidhaa inayosaidia wakulima kuboresha kilimo chao kwa kupunguza gharama za kilimo, kuongeza uzalishaji na kuboresha mazao.

 

Jambo zuri zaidi ni kwamba Kampuni ya NeoLife, mbali na kuzalisha bidhaa zote hizo, lakini pia inakupa fursa nzuri sana ya kujiongezea kipato.

 

Huhitaji kuwa na mtaji mkubwa au ofisi ili kuwa wakala au msambazaji wa bidhaa hizi zenye manufaa makubwa katika maisha ya binadamu. Ni suala la uamuzi tu, na zipo shuhuda za watu wengi ambao maisha yao yamekua bora zaidi kiafya na kiuchumi kutokana na kuamua kuwa mawakala na wasambazaji wa bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na NeoLife.

 

Kama unataka kuendana na kasi ya uchumi wa kati ambao nchi yetu ya Tanzania imeingia, nafasi hii ni ya kwako.

Changamkia nafasi hii ya kipekee kwa kuwasiliana na viongozi waandamizi wa kujitegemea wa NeoLife Tanzania. Ni viongozi ambao tayari wamewezesha watu wengi sana kufanikiwa katika biashara hii. Wasiliana nao kwa namba za simu zifuatazo; 0754371172, 0715371172 na O788290124.

Changamka sasa, kwani nafasi ni chache na yawezekana hii ndiyo fursa yako pekee ya kutoka kimaisha!

Na Mwandishi Wetu

Leave A Reply