The House of Favourite Newspapers

TP MAZEMBE Watua KIBABE Dar, Kuwavaa SIMBA – Video

Kikosi cha timu ya TP Mazembe kutoka Congo DR, kimewasili hapa nchini usiku wa kuamkia leo Aprili 04, 2019, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerre, kwa ajili ya kuvaana na Wekundu wa Msimbazi Simba SC, katika michuano ya ligi ya Mabingwa Marani Afrika.

 

Mabingwa wa Tanzania, Simba na TP Mazembe ni miongoni mwa klabu zilizoingia kwenye hatua ya robo fainali katikia michuano hiyo ambapo mechi yao ya kwanza ya robo fainali itapigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar, Jumamosi, Aprili 6, 2019.

SHUHUDIA MAZEMBE WALIVYOTUA

Comments are closed.