The House of Favourite Newspapers

Trump, Netanyahu Waja na Mpango wa Amani

0

Rais wa Marekani Donald Trump amewasilisha mpango kazi kuhusu Mataifa ya Mashariki ya Kati ambao ulikwa ukisubiriwa kwa muda mrefu, ukihaidi kuwa  mji wa Jerusalem utabaki kuwa mji mkuu wa Israel.

 

Maofisa wa Israel wanasema kuwa bwana Netanyahu ataenda Moscow siku ya jumatano kujadili mapendekezo hayo na rais wa Urusi, Vladimir Putin.

 

Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas ameonesha kuipinga mipango hiyo na kusema kuwa iko kinyume na sheria na kuwasisitiza Rais Trump na Netanyahu kuwa Jerusalem haiuzwi wala haina mjadala wa kibiashara.

Leave A Reply