The House of Favourite Newspapers

Tusua Mkwanja na Meridianbet Alhamisi ya Leo

0

Alhamisi ya Leo ni kwaajili ya mechi za Europa ambapo timu zitashuka dimbani hii leo kusaka pointi tatu muhimu kwenye hii hatua ya 16 bora. Mechi zote ODDS zao zimeshawekwa pale meridianbet ingia sasa na utandike jamvi lako.

AC Milan ya Italia itakuwa mwenyeji wa Slavia Prague katika dimba la San Siro huku Pioli akiuhitaji ushindi huu kwa namna yoyote ile na meridianbet wamemua wampe nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.40 kwa 7.44. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Tengeneza jamvi lako sasa.

Mechi nyingine ya kibabe ni ya SL Benfica kutoka kule Ureno dhidi ya Glasgow Rangers kutoka Scotland. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa msimu majuzi na walitoa sare mechi zote mbili walizokuta. Leo hii Benfica anapewa nafasi ya kushinda mechi hii akiwa na ODDS 1.55 kwa 5.48. Beti sasa.

Kumbuka sio kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Sparta Prague ya Czech Repulic atakuwa pale epet Arena kukiwasha dhidi ya Liverpool ya Jurgen Klopp ambyo ndiyo vinara wa ligi ya Uingereza hadi sasa. Nafasi ya kushinda mechi hii amepewa Liver akiwa na ODDS 1.81 kwa 3.92, huku mara ya mwisho kukutana ilikuwa mwaka 2011 na Jogoo alishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi?. Bashiri sasa mechi hii.

Mechi nyingine ambayo ni ya kukupatia pesa ni hii inayowakutanisha kati ya AS Roma kutoka Italia dhidi ya Brighton & Hove Albion majira ya saa 2:45 usiku. Mwenyeji kwenye ligi yupo nafasi za 5 na mgeni yupo nafasi ya 9. Meridianbet wanampendelea mwenyeji kushinda mechi hii kwa ODDS 2.11 kwa 3.28. Wewe beti yako unaiweka wapi. Jisajili hapa.

Huku nao Bayer Leverkusen ambao wamekuwa wa moto sana msimu huu kule Ujerumani, wao watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Qarabag FK ambaye kushinda mechi hii amepewa ODDS 8.03 kwa 1.34. Je Alonso na vijana wake wataendeleza moto na huku Uropa? Suka jamvi lako sasa huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000.

Vilevile SC Freiburg watashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya West Ham United ya Uingereza ambayo imekuwa na mwenendo usiotabirika. Lakini mwenyeji pia hayupo kwenye nafasi ya kutosha kwenye ligi baada ya kuambulia sare akiwa nyumbani mechi yake iliyopita. Mechi hii imepewa ODDS 2.60 kwa 2.60. Bashiri sasa.

Leave A Reply