The House of Favourite Newspapers

Tyara Banks ajifungua kidume

0

Tyra-Banks-59

Mwanamitindo, Tyra Banks akiwa katika pozi.

BAADA ya kukaa muda mrefu bila kupata mtoto huku wengine wakidhania huenda ni mgumba, mwanamitindo mkongwe, Tyra Banks hatimaye usiku wa kuamkia jana alifanikiwa kujifungua kidume ambaye amempatia jina la York.

tyra-banks-wallpaper

Tyara Banks.

Mwanamitindo huyo ambaye yupo kimahusiano na Erik Asla kupitia ukurasa wake wa Instagram alionesha hisia zake juu ya mtoto huyo kwa kuweka picha ya kofia ya mtoto wake huyo kisha akaandika maneno yaliyosomeka;

“Njia bora tuliokuwa tukisali hatimaye imefikia hapa. Ana vidole na macho makubwa kama baba yake Erik ukiangalia na mdomo pia.

1172322_509729969199983_2111516408_n

Picha aliyoweka Tyara Instagram.

 

Imeandaliwa na Andrew Carlos/GPL

 

 

 

Leave A Reply