The House of Favourite Newspapers

RPC Mbeya afafanua kuhusu video ya NMB Tawi la Mbalizi

0

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi ametoa ufafanuzi kuhusu kipande cha video kinachosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kikionyesha uhalifu ukifanyika katika Benki ya NMB, Tawi la Mbalizi mkoani Mbeya na kueleza kuwa si tukio la ujambazi bali ni zoezi la polisi la kuonyesha jinsi ya kukabiliana na matukio ya ujambazi katika taasisi za fedha (mabenki) nchini. Angalia video ya RPC Mbeya akitoa ufafanuzi.

Leave A Reply