The House of Favourite Newspapers

Tyga adondosha wimbo kwa ajili yake

0

2E5742F500000578-0-image-a-36_1447972435988
Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Michael Ray ‘Tyga’.

MWANAMUZIKI wa Hip Hop kutoka Marekani, Michael Ray ‘Tyga’ ameachia wimbo mpya kwa ajili yake unaokwenda kwa jina la Happy Birthday To day My Day kama pongezi ya kuadhimisha miaka 26.

Tyga aliuachia wimbo huo rasmi tarehe 19 (jana) kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ambapo katika baadhi ya mistari ndani ya wimbo huo inaeleza namna ambavyo ameweza kufanikiwa kimuziki tangu ameanza harakati hizo hadi anafikisha umri huo.

kylie-jenner-600x800Hata hivyo katika sherehe hiyo mambo yalinoga zaidi baada ya Kylie Jenner mpenzi wa mwanamuziki huyo kuingia na gari aina ya Ferrari na kuongeza shamlashalmla kwa wahudhuliaji waliofurika ambao wengi walikuwa marafiki wa wawili hao.

Leave A Reply