The House of Favourite Newspapers

UCHAMBUZI: Matokeo ‘SIMBA Vs AL AHLY’, Simba Walifeli Wapi? – VIDEO

Klabu ya soka ya Simba imekubali kipigo cha goli tano kwa sifuri kutoka kwa Al Ahly ya Nchini Misri katika michuano ya kombe la mabingwa barani Afrika CAF.

Kipigo hiko kinaifanya Simba kuwa na jumla ya magoli ya kufungwa 10 kwa 3, na ikumbukwe simba katika kundi D imeshinda mchezo mmoja tu dhidi ya JS Soura.

Kufuatia matokeo hayo Global TV imemtafuta Mchambuzi wa masuala ya soka, Saleh Ally Jembe, ambaye maechambua mchezo huo ambao kwa kiasi kikubwa Simba walionekana kuzidiwa hasa katika dakika 45 za kipindi cha kwanza.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO


Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.