The House of Favourite Newspapers

Ufafanuzi wa NHIF Kuhusu Ongezeko la Michango ya Wanachama

0

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema hakuna mabadiliko ya michango kwa watumishi kama ambavyo taarifa zinazosambazwa mitandao zinadai kuwa kuna ongezeko la uchangiaji kutoka TZS 18,000 hadi TZS 40,000.

Leave A Reply