The House of Favourite Newspapers

Matokeo Kidato Cha Pili 2016 Yametoka, Boya Hapa Kuyatazama

kidato-cha-pili

Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 435,075 walioandikishwa kufanya mtihani huo kati yao wasichana ni 189,161 na wavulana ni 183,067. 

Baraza la Mtihani la Taifa, (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha pili, ambapo wanafunzi 372,228 (kati ya 435,075) wamefaulu sawa na asilimia 91.02.

form-2

c2nj-klxaaalcvy-jpg-large

Kiwango hicho cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 2 ikilinganishwa na asilimia 89.12 ya wanafunzi waliofaulu mtihani huo mwaka jana.

Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde alisema jumla ya wanafunzi 435,075 walioandikishwa kufanya mtihani huo kati yao wasichana ni 189,161 na wavulana ni 183,067.

Dk Msonde alisema ufaulu umeongezeka mwaka huu katika masomo ya msingi na wanafunzi wamefanya vizuri zaidi kwenye somo la kiswahili.

BOFYA HAPA KUTAZAMA ==> MATOKEO YA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2016

 

Kadja Nito: Kwa Mahaba Anayonipa Mume Wangu, Sijutii Kubadili Dini

Comments are closed.