The House of Favourite Newspapers

UHAKIKI WA RIWAYA: TAKADINI (3)

0
UHAKIKI WA RIWAYA: TAKADINI (3)
Takadini

UHAKIKI WA RIWAYA: TAKADINI (3)

FALSAFA

Falsafa ya mwandishi hupatikana kwa kusoma kazi zake nyingi. Ben J. Hanson anaamini katika ubinadamu. Imani yake inaikumbusha jamii kuwa, watu wote ni sawa na hakuna mtu aliye bora zaidi ya mwingine.

 

MSIMAMO

Mwandishi ana msimamo wa kimapinduzi. Katika tatizo la mila na desturi zilizopitwa na wakati, anaamini suluhisho ni kuzikataa mila hizo kwa nguvu zote. Mwandishi hafurahishwi na jamii zinazoendelea kuwanyanyasa watu wenye ulemavu wa ngozi na walemavu wengine.

 

FANI

MUUNDO

Umetumika muundo wa moja kwa moja. Tunamuona Takadini akizaliwa, akitaka kuuawa na watu wa jamii yake, mama yake anamtorosha, anapata mpenzi na kuzaa mtoto ambaye hakuwa sope, na mwisho Takadini na mama yake wanaamua kurudi katika jamii yake ili kuwaelimisha kuhusu haki za walemavu… SOMA ZAIDI

Leave A Reply