The House of Favourite Newspapers

Ujumbe wa Mpoto Wahusishwa na Baa la Njaa

mpoto-2

Mrisho Mpoto akiwa Global Tv Online

Mwanamuziki wa Muziki wa Asili Bongo na mtumbuizaji kwa staili ya kughani mashairi, Mrisho Mpoto ameandika ujumbe mzito katika mtandao wa instagram unaosomeka

Wakati wewe unasema mwanamke Malaya apigwe mawe, basi wewe usiyekua na dhambi njoo uwe Wa kwanza kumpiga mawe!!” aliandika hivyo Mrisho Mpoto.

mpoto-3

Mrisho Mpoto watatu kutoka kushoto akiwa katika matembezi kupinga ujangili.

katika majadiliano waliyochangia hoja hii watu ishirini ambapo walitoa maoni yao na kuhusisha na ugumu wa maisha, baa la njaa na ukosefu wa mvua nchini. ambapo mchangiaji huyo aliandika hivi…

“Tunahukumiana ndio maana mvua hazinyeshi na baa la njaa linatikisa nchi” Aliandika hivyo mchangiaji huyo.

mpoto-1

Mrisho Mpoto

Aidha, Mpoto ambaye amewahi kuwa balozi wa amani nchini, wiki mbili zilizopita alipata mualiko kutoka ubalozi wa China katika hafla ya kupinga ujangili nchini  na kwingineko, Mpoto anatajwa kama ni msanii mwenye kutetea haki za binadamu na wanyama.

 

mrisho-mpotoPicha na Ujumbe wa Mrisho Mpoto Instagram

Salum Milongo/GPL

  

 

Comments are closed.