The House of Favourite Newspapers

Ukweli Kuhusu Watu 8 Waliokufa kwa Gongo Kimara, Aliyenusurika Kifo Asimulia!

0

WATU nane wamefariki dunia maeneo ya Kimara Stop Over jijini Dar es Salaam, kwa kunywa pombe haramu aina ya gongo, anayouza mama mmoja anayefahamika kwa jina la mama Moza.

Akielezea tukio hilo mmoja wa watumiaji wa kinywaji hicho ambaye alinusurika kwa sababu siku ya tukio yeye hakunywa, alisema kuwa

“Mimi nilikuja asubuhi kusalimia nikala na supu kisha nikaondoka, kwenye saa tano nikarudi naambiwa wenzako wamefariki, baadaye tena nikazunguka naambiwa na wengine wamekufa huko juu, mwingine tena anatembea tu akaanguka, na wengine wanakimbilia kunywa maziwa”.

VIDEO YA TUKIO HILO

Leave A Reply