The House of Favourite Newspapers

Umoja wa Ulaya, SADC Kuimarisha Ushirikiano na Afrika Mashariki

sadc-1

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Augustine Mahiga akizungumza.

sadc-2

Baadhi ya washiriki kwenye mkutano huo.

sadc-3

Mkutano ukiendelea.

Umoja wa Ulaya, Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) zimeombwa kuwa washiriki wakuu wa masuala ya kiuchumi na kisiasa ili kujenga uhusiano mzuri baina yake na nchi za Jumuia ya Mashariki.

Wito huo umetolewa leo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Augustine Mahiga, wakati akihutubia washiriki wa mkutano huo ambao unafanyika jijini Dar es Salaam.

Mambo mengine yaliyozungumzwa ni kuhusiana na kufuatilia chaguzi zinazofanyika katika nchi zote ikiwa ni pamoja na upigaji wa kura na wananchi wanavyopokea matokeo ya kura wanazopiga.

Na Hilaly Daud/GPL

Comments are closed.