The House of Favourite Newspapers

Undani Wa Ndege Iliyopotea Ikiwa Na Rubani – Video

0


Rubani Samwel Gibuyi wa ndege ya Shirika la PAMS Foundation ambae hajaonekana toka aruke Wilayani Tunduru na ndege hiyo Oct. 18, 2021 saa 9 bado hajapatikana hadi leo wala ndege hiyo haijaonekana, Julius Mtatiro  Oktoba 30, 2021 amesema bado jitihada zote za kumtafuta kwa anga na ardhi hazijafanikiwa lakini wanaendelea na zoezi la utafutaji.

Leave A Reply