The House of Favourite Newspapers

USHUHUDA: SAID! Hatasahau Alivyotobolewa Macho na Scropion! – VIDEO

Katika kipindi cha ‘Ushuhuda’ wiki hii tunaye Kijana Said Mrisho ambaye kwa sasa ni Mlemavu wa Macho yote mawili yaani (KIPOFU) ambaye alipata ulemavu huo miaka kadhaa iliyopita baada ya kutobolewa macho yake na kijana mmoja aliyefahamika zaidi kwa jina la ‘Scropion’.

Serikali ilisimamia vizuri kesi ya Said na hatimaye aliyemsbabishia ulemavu huo akahukumiwa kwenda Jela. Yapo mengi usiyoyafahamu kuhusiana na Said Baba wa watoto wanne, Tazama video hii mpaka mwisho.

Comments are closed.