Usikose Kutazama LIVE SpotiHausi Leo, Saa 10:00 Jioni – Global TV Online

#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.

  • Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip Nkini watakupa madini yote kuntu ya ki-sport mwanzo mwisho.
  1. Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na joto la Ubingwa.
  2. Champions League (Ulaya).
  3. Chelsea alivyojinyakulia Ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.
  4. Udhamini wa SportPesa kwa timu za Yanga na Simba
  5. Kujiondoa na kurudi kwa Hans Pope Simba
  6. Wazee wa Simba kukinukisha kisa Mo.

Usikose leo Mei 18, 2017, SAA 10:00

Mgeni wetu atakuwa ni Goal Keeper wa zamani wa Yanga, Taifa Stars, Ivo Mapunda.

SUBSRIBE #YouTube #GlobalTVOnline


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment