The House of Favourite Newspapers

VIDEO: UTATA! KIFO cha MAMA Na MWANAE, Mume, Dada WASIMULIA Mazito!

Ni majonzi na vilio vimetawala kwa familia ya marehemu, Pauline Patrick, aliyefariki saa chache baada ya mwanae kufariki…

Global TV imefika msibani maeneo ya Kibaha, na kuzungumza na Mume na dada wa marehemu, ambao wamesimulia kiundani kilichosababisha kifo cha ndugu yao huyo na mwanae

Comments are closed.