The House of Favourite Newspapers

Uwoya Kakolea! Achora Tattoo ya Janja, Nampenda Hadi Naumwa! – VIDEO

 

Ndoa ya muigizaji, Irene Uwoya na Mbongo Fleva, Dogo Janja, inazidi kustawi kutokana na wawili hao kuendelea kuonyeshana mahaba kila kukicha mitandaoni, ambapo muigizaji huyo sasa ameamua kuchora Tattoo yenye jina halisi la mumewe ‘Abdul’.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dogo Janja, amepost picha ya mkewe inayoonyesha Tattoo hiyo na kumuandikia maneno yafuatayo.

“Ahsante Mke Wangu, Nichore Na kule Ninapopaonaga mimi tu”

 

Comments are closed.