The House of Favourite Newspapers

Uzinduzi wa “Malkia” ya Kala Jeremiah usipime!

0

KALA (8)Kala jeremiah na swahiba wake, Roma Mkatoliki wakifanya yao jukwaani.
KALA (2)Msanii Tuen akikamua KALA (3) KALA (4)Diana Nyange akikonga nyoyo za mashabiki jukwaaniKALA (5) Banana Zoro akipozi na msanii Majoo BlackKALA (6)Izzo B akifanya yake.

KALA (7)Wasanii wa Bongo Movie, Shamsa Ford akiwa na Niva
KALA (9)Mashabiki wakipata vinywajiKALA (10)Msanii Nuruelly akitumbuiza

KALA (1)Wadau wakipiga fotoo red carpet.
KALA (11)Kala akicheza wimbo wake mpya uitwao MalkiaKALA (12) Kala na Roma wakiwa kwenye pozi_MG_7492Red carpet pakihapeni

Msanii wa Bongo Fleva, Kala Jeremiah jana amefanya uzinduzi wa video yake ya wimbo wa Malkia. Uzinduzi huo ulifanyika Club Billicanas iliyopo Posta jijini Dar na kuhudhuriwa na wasanii wa muziki na filamu za kibongo.

Na: Gabriel Ng’osha na Clarence Mulisa-GPL.

Leave A Reply