The House of Favourite Newspapers

Vannesa Afungukia Ndoa Yake na Jux -Video


MOJA ya ‘couple’  zinazopendwa na mashabiki, ni ya wanamuziki, Juma Jux na Vannesa Mdee, imewashangaza mashabiki baada kuimba pamoja kwa hisia za kimahaba huku wakishangaliwa na mashabiki kwenye shoo zao mbalimbali.

Kutokana na kuimba, kucheza na kukumbatiana, wameonyesha penzi lao bado lipo vizuri.

CountryBoy: Khaligraph Hawezi, Wanaompa Kiburi…

Comments are closed.