The House of Favourite Newspapers

Alichosema Waziri Ummy Kwenye Harusi Ya Zabibu, Banda -Video


BAADA ya ndoa na harusi kubwa ya msakata kabumbu, Abdi Banda, na dada mdogo wa msanii wa Bongo Fleva, Alikiba,  anayeitwa Zabibu Kiba kufanyika jijini  Dar ,  harusi hiyo ilihamishiwa mkoani Tanga ambapo ndiko nyumbani kwa bwana harusi ambako kulifanyika bonge la katika ukumbi wa Tanga Beach Resort.

 

GLOBAL TV imefanikiwa kuhudhuria  hafla hiyo na kukuandalia tukio zima lilivyokuwa ambapo moja ya matukio yaliyojiri ni  Zabibu Kiba kumwaga machozi ya furaha kiasi cha kushindwa kuwatambulisha ndugu wa familia yake na ikambidi Alikiba kumsaidia.

Comments are closed.