The House of Favourite Newspapers

Vee Money Amleta Bongo Rotimi, Kuwasha Moto Dar Leo – Video

0

HATIMAYE muigizaji maarufu wa Nigeria na Marekani, Olurotimi Akinosho ‘Rotimi’ kwa mara ya kwanza ametua Tanzania baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam mapema leo Desemba 31, 2019.

 

Rotimi ambaye pia mwanamuziki na Model, amewasili akiambatana na mpenzi wake ambaye pia ni msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini, vanessa Mdee ‘Vee Money’ na anatarajiwa kufanya shoo anayotarajiwa kuifanya usikunwa leo kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya, katika Ukumbi wa Velisas – Kawe Beach.

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

Leave A Reply