The House of Favourite Newspapers

Video: Akutwa Na Magunia 25 Ya Madawa Ya Kulevya, RCP Azungumza

0


JESHI la polisi mkoa wa kipolisi wa Temeke, linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 34, Frank George, mkazi wa Kurasini, kwa kosa la kujihusisha na shughuli za kihalifu, ambapo amekutwa ndani kwake akiwa na magunia 25 ya madawa ya kulevya aina ya Bangi.

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply