The House of Favourite Newspapers

Video: Amber Rutty Amwaga Machozi, Yaliyomkuta Jela

0

Msanii wa Bongofleva, Rutyfiya Aboubakary ‘Amber Rutty’ Juni 6, 2021amefanya mahojiano katika kipindi cha Mapito kinachorushwa na Global Radio na kusema Mchungaji wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Daudi Mashimo ndio kila kitu kwake kwa sababu amemtendea mambo mengi yaliyofanikisha kurudisha heshima yake ndani ya jamii.

Leave A Reply