The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Prof Assad Akabidhi Ofisi Kwa CAG Kichere

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mpya Charles Kichere, aliyeapishwa jana Novemba 04, amekabadhiwa ofisi na Mtangulizi wake Prof. Mussa Assad leo Novemba 05, katika makao makuu ya ofisi hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.

 

Comments are closed.