The House of Favourite Newspapers

Video: Cheyo Amfungukia Magufuli “Kama Nimekuudhi Nisamehe”

0

“Nawaonea huruma watakaompinga Magufuli, ngoma imeshamalizika. UDP mgombea wetu ni Magufuli, ila tunawaomba angalau hata Diwani mmoja na Wabunge wawili watatu. Tangu mwanzo nilisema Nchi hii ni tajiri sasa ndio wimbo wa Rais wangu.” – John Cheyo leo mbele ya JPM, Dodoma.

 

“Hakuna Chama kilichosajiliwa kuwa cha upinzani na hakuna Chama kimeandikwa kwamba kitaiondoa CCM. Ukiandika hivyo hupati usajili wa kudumu. Sasa hivi Vyama vinavyosema tuungane kuiondoa CCM, uindoe CCM uweke nini?” – John Cheyo leo mbele ya JPM, Dodoma.

Leave A Reply