The House of Favourite Newspapers

Video: Dada Aliyenyongwa Na Mganga Wa Kienyeji, Mfanyakazi Wake Aanika Ukweli

0


MOJA kati ya matukio ambayo yalitawaliwa na utata mzito hivi karibuni ni pamoja na tukio la kifo cha Bi Lidya, mkazi wa Kasulu mkoani Kigoma ambaye alifariki akiwa kwa mganga.

 

Ilisemekana bi Lidya alikuwa amekwenda kwa mganga kuzindika fedha zake na ndipo alipouawa na mwili wake kufukiwa.

 

Mwandishi Wetu Hilary Daudi, amefunga safari kutoka jijini Dar hadi mkoani Kigoma kulichimba kiundani sakata hilo ambapo alifanikiwa kuzungumza na binti aliyekuwa akifanya kazi na marehemu pamoja na rafiki wa karibu wa marehemu.

 

Zabibu Jason ambaye ni binti wa kazi wa marehemu, ameeleza kwa kirefu jinsi walivyofahamiana na marehemu hadi umauti ulipomkuta. Insert: Zainabu… ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply