VIDEO: Esma Atunzwa BMW Mpya Kwenye Harusi Yake
Usiku wa Agosti Mosi, Dada wa Diamond, Esma Platnumz, Esma Khan na mumewe Msizwa, wamefanya tena sherehe ya harusi Yao katika ukumbi wa Gofu Lugalo, jijini Dar.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx