The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Esma Platnumz Afunguka Kuiba Mume wa Mtu, Abakia ‘No Comment’

ESMA PLATINUMZ, dada’ke mwanamuziki Diamond, amesema kwa sasa hawezi kuzungumzia ishu zilizosambaa mitandaoni kuhusu yeye kuiba ama kutembea na mume wa mtu.

Mrembo huyo alikuwa akijibu swali aliloulizwa na Global TV Online kuhusu tetesi za kupora mume wa mtu ambaye anajivinjari naye sasa.  Katika kukwepa kujikita na swali hilo aliamua kubaki ‘no comment’.

Comments are closed.