The House of Favourite Newspapers

Video: Global Habari Juni 16 – Mkurugenzi Wa IPTL Aachiwa Huru

0


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kufua Umeme (IPTL), Herbinder Seth, ameachiwa huru baada ya kutakiwa kulipa fedha TSh.Bil 26.9 kama fidia kwa Serikali huku akipewa masharti ya kutotakiwa kutenda kosa lolote kwa kipindi cha mwaka mmoja. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply