The House of Favourite Newspapers

Video: Hali Ya Baba Wa Joshua Aliyeuawa Na Hamas Ni Mbaya Baada Ya Kuona Video Mwanae Akipigwa Risasi…

0


Baada ya video ya Mtanzania aliyeuawa Israel kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Global Tv imefanya mahojiano na Ndugu wa Joshua Mollel na kuthibitisha kuwa ni kweli anayeonekana kwenye video akipigwa risasi ni ndugu yao Joshua aliyekwenda Israel kwa lengo la kuendeleza ndoto zake lakini ndoto zake zilizimwa gafla na shambulizi la Hamas lililofanywa ukanda wa Gaza.

Ndugu wa Joshua ameendelea kusema walipewa taarifa kuwa ndugu yao alifariki toka Oktoba 7, 2023 lakini hawakuweza kuamini mpaka hapo jana walipoona video ikisambaa kwenye mitandaoni ya kijamii ikionyesha shambulio la Hamas na kumuona ndugu yao Joshua akipigwa risasi.

Leave A Reply