The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Haya Ndiyo Maisha Ya Wamakonde Waishio Kenya, UTASHANGAA!


GLOBAL TV KENYA imefanya makala fupi inayoelezea kwa kina zaidi maisha ya watu wa kabila la Wamakonde wa Msumbiji waishio nchini Kenya. Changamoto walizopitia mpaka kukubalika na Kenyatta, Utashangaa! Tofauti ya Makonde wa Tanzania na wale wa Msumbiji, Utashangaa! Tazama video hii uburudike, ujifunze, uhabarike na uweze kuwafahamu vizuri wamakonde hao walioweka makazi yao Kenya, kiasili wakitokea nchini Msumbiji.

Comments are closed.