The House of Favourite Newspapers

VIDEO: KOCHA SIMBA “ILIKUWA Mechi Ngumu, Hakuna Aliyetegemea”

KOCHA Mkuu wa Simba amesema kuwa walichizidiwa katika mchezo dhidi ya TP Mazembe ni uzoefu wa Mazembe ndio uliosababisha wakakosa matokeo.

 

Simba wamerejea baada ya kutoka Congo walipocheza mchezo wao dhidi ya TP Mazembe na kufungwa mabao 4-1 katika hatua ya Robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Comments are closed.