The House of Favourite Newspapers

Video: LIPUMBA Amvaa LOWASA – “Alirudi CCM, Mbowe Akiwa Gerezani”

0

Mwenyekiti wa Chama Cha wananchi CUF Prof. Ibrahimu lipumba amesema kuwa chama chake kitashirikiana na vyama vingine katika harakati za kuwatafuta wagombea katika nyanja mbalimbali ilimradi tu chama ambacho kitakuwa tayari kuonesha ushirikiano wa dhati na si vinginevyo.

 

Amedai kuwa katika uchaguzi uliopita aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowaha hakuwa mtu sahihi kwao na ndiyo maana aliondoka chama hicho hata bila kuwaaga viongozi wake hususani Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe wakati akiwa mahabusu ya segerea na kurejea CCM.

Leave A Reply