The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Maajabu ya Mbuyu, Kisima, Kaburi la Wapendao Bagamoyo!


GLOBAL TV Online imetembelea mji wa kihistoria wa Bagamoyo ambapo inakuletea simulizi ya mbuyu wa ajabu wenye umri zaidi ya miaka 500, kisima cha maji ya baraka yasiyokauka tangu karne ya 13, makaburi ya wapendanao waliofariki zama za kale na kuzikwa pamoja, na msikiti uliojengwa karne ya 13 na upo hadi leo — hakika yote hayo yanasisimua!

Comments are closed.