The House of Favourite Newspapers

Video: “Magufuli Tusaidie” – Wananchi Waangua Vilio Nyumba Zao Kubomolewa

0

Wakazi wa vitongoji vya Muheza na Mitamba vilivyopo Mtaa wa Lumumba Kata ya Pangani Kibaha mkoani Pwani wametoa wameelezea kilio chao baada ya kupewa taarifa ya kubomoa nyumba zao.

Wakazi hao wametakiwa kuhama na kubomoa nyumba zao haraka iwezekanavyo eneo hilo ambalo wanadaiwa kulivamia. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply