The House of Favourite Newspapers

VIDEO: MAKONDA Aagiza UJENZI wa Hospitali Kigamboni Kukamilika Haraka!


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka wasimamizi wa Miradi ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kigamboni pamoja na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo kukamilisha haraka ujenzi huo.

Makonda akikagua Miradi mbalimbali ya Serikali wilayani humo leo amesema kuwa RAIS John Pombe Magufuli ametoa kiasi cha BIL.1.5, kwa ajili ya Ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kigamboni ili kuondoa changamoto za kiafya wilayani humo.

Comments are closed.