The House of Favourite Newspapers

Video: Mashindano Hatari ya Pikipiki na Magari Mwanza


Tamasha la Sport & Music Festival limefanyika tena mkoani Mwanza baada ya kumalizika Geita na kufanya mashindano ya michezo mbalimbali ikiwemo ya kucheza na pikipiki na Magari.

Tamasha hilo linatarajia kuhitimishiwa mkoani Kahama ambapo mbali na michezo hiyo limesindikizwa na wasanii lukuki wa Bongo Fleva akiwemo Young Killer, G Nako, Snura, Sholo Mwamba na wengine kibao.

Comments are closed.