The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Matokeo ya Uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki – Dodoma

Waliochaguliwa ni Happiness Elias Lugiko, Fancy Haji Nkuhi, Dkt. Ngwalu Jumanne Maghembe, Adam Omary Kimbisa, Mariam Yusi Yahya, Abdallah Hasnu Makame na Habib Mnyaa wa CUF huku wabunge wa Chadema wakipata kura nyngi za hapana.

Matokeo ya kura za ubunge wa EALA ya wagombea wa CHADEMA;

1. Ezekiah Wenje

NDIYO- 124

HAPANA- 174

2. Lawrence Masha

NDIYO- 126

HAPANA- 198

Comments are closed.