The House of Favourite Newspapers

Video: Mixtape ya VDJ Ally B Yazinduliwa Maisha Basement Dar

maisha-basement-1

DVJ wa Ukumbi wa Maisha Basement, DVJ Ally B akifanya mahojiano na Global TV Online.

maisha-basement-2…Akiendelea kufanya mahojiano.

maisha-basement-3

…Akionyesha mashabiki waliofika katika uzinduzi wake (hawapo pichani).

maisha-basement-4

Dj wa Ukumbi wa Maisha Basement, Dj Godo akiwa katika pozi.

maisha-basement-5

Mfanyakazi wa Global, Nicolaus Trac,  akimuuliza swali mmiliki wa studio  ya Free Nation Production, prodyuza Mr T Touch.

maisha-basement-6

Mr T Touch akiwa katika pozi.

maisha-basement-7 maisha-basement-8 maisha-basement-9

Wadau mbalimbali wakiwa katika pozi.

cover

Muonekano wa mixtape hiyo kwa mbele.

DVJ wa Ukumbi wa Maisha Basement, DVJ Ally B  Jumapili  (juzi) ameachia DVD yenye nyimbo mchanganyiko za wasanii mbalimbali (mixtape) iitwayo ‘Fresh From Kitaa’ katika  ukumbi wa Maisha Basement uliopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar.

Mashabiki 100 wa kwanza waliowahi kufika, walipewa DVD hiyo bure mlangoni.

(PICHA: GLOBAL TV ONLINE)

Comments are closed.