The House of Favourite Newspapers

Video: Mkali Wa Kuchezea Pikipiki Wa Arusha Done Alivyopata Ajali Na Kufariki Rafiki Zake Wafunga Barabara

0

Kijana mmoja aliyefahamika kama mkali wa kuchezea pikipiki jijini Arusha amepata ajali na kufariki palepale kwa kile kinachodaiwa kuonesha ufundi wa kuchezea pikipiki barabarani mpaka mauti yakamfika.

Mmoja wa mashuhuda ameiambia Global Tv kuwa marehemu alikuwa na kipaji na tukio hilo limetokea walipokuwa wakisindikiza miili ya marehemu waliokuwa wakiendesha nao bodaboda ndipo mauti ulipomfika.

Aidha vijana wa Arusha wanaiomba serikali kuwatengea maeneo maalum kwa ajili ya michezo hiyo kwani wao wana ubunifu wa kutosha na hivyo itafanya kuwaongezea kipato katika maisha yao ya kila kisu.

Leave A Reply