The House of Favourite Newspapers

VIDEO: “Mmepaniki, Sikuja CHADEMA wakati wa Kura za maoni” – Mbunge Lijualikali

0

Mbunge wa Kilombero (CHADEMA) Peter Lijualikali leo Mei 23, 2020 ameongea na waandishi wa habari na kuanika madudu mbalimbali yaliyokuwa yanafanywa ndani ya chama cha Chadema, na mwenendo wa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.

“Unachangia kitu ambacho unajua kinaenda kufanya kitu gani, lazima ujue zimetumikaje, CAG hakuja kwenye kikao ambacho M/Kiti anatujaza. Mmepaniki, Sikuja CHADEMA wakati wa Kura za maoni” – Mbunge Lijualikali.

Leave A Reply