The House of Favourite Newspapers

Video: Mo Dewji Avunja Ukimya Wa Haji Manara, Afunguka Mengi – ”Sina Kinyongo Naye”…

0


Mwandishi mahiri wa habari za michezo, Saleh Jembe  amefanya mahojiano ‘exclusive’ na Rais wa Heshima wa Simba na mfanyabiashara mkubwa wa Kitanzania, Mohamed Dewji ‘Mo’ ambapo amefunguka mambo mengi ambayo ulikuwa huyajui.

Saleh amemuuliza Mo kwamba licha ya kufanya kazi kwa muda mrefu na Haji Manara aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Simba, alipohamia Yanga alikuwa akimtukana kwenye mitandao na kwenye vyombo vya habari, je, ikitokea amemuombamsamaha yupo tayari kumsamehe? Mo amelijibu swali hilo.

Leave A Reply