Video Mpya ya Navy Kenzo ft. Diamond Platnumz (Katika) Yatikisa

Kundi la muziki wa Bongo Fleva, Navy Kenzo linaloundwa na Aika na mpenzi wake, Nahreel wameachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Katika ambao wamemshirikisha Diamond Platnumz.
Install Global App, nimekuwekea link hapa chini:
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC


Comments are closed.