VIDEO MPYA: YOUNG LUNYA NA COUNTRY BOY – TIKISA

HAPA wamekutana wakali wawili wa Rapu Young Lunya kutoka kundi la OMG na Country Boy ndani ya dakika 3 na sekunde 35 kwenye mdundo uliotengenezwa na mtaarishaji wa muziki Ammy kutoka studio za Switch Records wametulea nyimbo mpya ‘Tikisa’  video ikasimamiwa  vizuri na Director Joowzey ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

Loading...

Toa comment