The House of Favourite Newspapers

Video: Mtoto Mchambuzi Aishauri Simba Cha Kufanya Kushinda Fainali SportPesa


Mtoto Kenedy Heri amechambua timu zote zilizoshiriki michuano ya Sport Pesa 2018 nchini Kenya na kutoa ushauri kwa timu ya Simba Ili ifanye vizuri ni vitu gani vya kuzingatia kuelekea mchezo wa fainali utakaofanyika siku ya Jumapili. Mtoto Kenedy ameonesha uwezo wa aina yake kuchambua masuala ya soka na kujizolea umaarufu mkubwa.

Comments are closed.