The House of Favourite Newspapers

Video: Mwanamuziki Anayeimba Taarabu Ya Gospo Aibuka, Afunguka!

0


Muimbaji wa Injili, Juvenalister Mabumba amewashangaza watu kwa namna ya uimbaji wake wa kumtukuza Mungu na watu wengi wamekuwa wakivutiwa na uimbaji wake huo na kujipatia mashabiki wengi.

Kwenye moja ya nyimbo zake, amemshirikisha Isha Mashauzi. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply