The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Mwili wa PATRIC Ukiingizwa Kwenye Gari Airport – VIDEO

Baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu, hatimaye mwili wa mtoto Patrick wa Muigizaji Muna Love umefanikiwa kutolewa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Majira ya saa mbili usiku na kuingizwa kwenye gari kisha kuondoka uwanjani hapo huku ikiwa bado haijafahamika kuwa unaelekea wapi.

Endelea Kufuatilia Global TV Online masaa 24, tutakuletea taarifa zote muhimu pamoja na kila kinachoendelea kuhusiana na msiba huu.

Comments are closed.